
Mafunzo ya Kompyuta kwa Kiswahili
KOZI ZINAZOFUNDISHWA
Ninatoa mafunzo ya kompyuta na mtandao kwa lugha ya Kiswahili.




JINSI MAFUNZO YANAVYOTOLEWA
Soma popote ulipo kupitia simu au kompyuta yako. Mafunzo yote yapo tayari yamesharekodiwa kwa mfumo wa Videos na Kwa lugha ya Kiswahili. Ukishalipia Ada Unatumiwa Mfunzo yote muda huohuo kwenye email yako na utaweza kujifunza kupitia simu au kompyuta yako kwa muda wako mwenyewe utakaojipangia kutokana na ratiba zako.
