FURSA YA KUTENGENEZA KIPATO MTANDAONI KUPITIA SIMU YAKO

Tupo kwenye zama, ambayo kuwa na ujuzi wa ICT si muhimu tu bali ni LAZIMA.

Ndio ni Lazima Ikiwa Kweli unataka Kuendana na Maendeleo ya Teknolojia.

Pia ni Lazima ikiwa Unataka Kutengeneza Kipato Kupitia Ujuzi wa ICT. 

Hivyo Kama Wewe Una Kiu Kubwa ya Kutaka Kutengeneza Kipato Mtandaoni, Basi Soma Kwa Umakini Mkubwa hapa Chini.

Angalia, ili uweze kutengeneza Kipato Mtandaoni unatakiwa kuwa na mambo haya matatu muhimu.

1. Ujuzi: Uwe na ujuzi sahihi wa ICT na Jinsi ya Kutumia Ujuzi Huo Kutengeneza Kipato.

2. Kutengeneza Thamani: Uwe tayari kufanyia kazi ujuzi Ulioupata na Kutengeneza Thamani itakayomfanya mtu awe tayari kutoa pesa yake kukupa wewe.

3. Kujitangaza: Hata kama una kitu kizuri namna gani kama haujui namna nzuri ya Kujitangaza hutoweza kutengeneza kipato maana watu watakuwa hawakifahamu.

Kabla hujaumiza kichwa chako kuanza Kufikiria Kuwa ni kwa NAMNA GANI UTAJIFUNZA, WAPI NA UTATENGENEZAJE KIPATO.

Nipo hapa kwa ajili yako….

Ndio, kwa ajili yako, Nitakuelekeza Nini ufanye ili Uweze Kutengeneza Kipato Mtandaoni.

Kwanza; Ni muhimu ufahamu kuwa, kuna niia nyingi sana za Kutengeneza Kipato Mtandaoni, Zipo zinazohitaji Mitaji Ya kati na Zipo nyingine zinazohitaji Simu yako tu na Internet.

Sijamaliza, Angalia….

Ili Kukuondolea Mashaka…..

Na ili Kuepuka Kukupotezea Muda….

Nitakufundisha Njia ya Rahisi Zaidi ya Kutengeneza Kipato Kupitia Mtandao. Njia hiyo inafaa hata kama Unamiliki Simu tu.

NAJUA UNAJIULIZA, NI NJIA GANI HIYO?

Usijali, Narudia Maneno yangu ya Mwanzo. Nipo hapa kwa ajili yako.

Relax……..😂

Huu Sio Uchawi, Hii ni Mbinu Halisi Inayofanya Kazi ambayo Nimeithibitisha kwa zaidi ya miaka 8 sasa.

Haina Mashaka hata kidogo, na Nina Uhakika wa Asilimia 100 jumlisha na 10 (110%).

KAMA UNAHITAJI KUTENGENEZA KIPATO ENDELEVU, KWA KUTUMIA SIMU YAKO TU, BASI SOMA KWA MAKINI HAPA CHINI.

Nimekuandalia Package (Kifurushi) cha Mafunzo Chenye Kozi 6 Ambazo Nina Uhakika wa 110% kuwa zitaweza kukuingizia Kipato Kupitia Simu Yako Tu.

KOZI HIZO NI

1. Graphic Design katika Simu: Hapa Utajifunza Msingi wa Graphic Design na Jinsi ya Kutengeneza Kazi mbalimbali za Graphic Design kama vile Vipeperushi, Kadi na Posters. (Ada ilikuwa ni Tsh 20,000).

2. Logo Design Course: Ndani ya Kozi hii utajifunza Jinsi ya Kutengeneza Logo (Nembo) za aina mbalimbali kama vile Logo za Biashara, Logo za Shule, Logo Binafsi na Kadhalika. (Ada yake ilikuwa ni Tsh 20,000)

3. ChatGPT for Graphic Designers: Kozi hii itakupa uzoefu wa kurahisisha na kusahihisha Kazi zako za Graphic Design. (Ada yake ilikuwa ni Tsh 20,000)

4. Ingiza Kipato Kupitia Simu Yako: Kozi hii inakupa mwongozo sahihi na wa uhakika wa kuufuata ili uweze kutengeneza Kipato Mtandaoni. (Ada yake ilikuwa ni Tsh 20,000).

5. Instagram Marketing Course: Kozi hii inakupa mwongozo wa kutangaza biashara yako mtandaoni kwa njia ya Kulipia Matangazo Instagram ili kuwafikia wateja wengi. (Ada yake ilikuwa ni Tsh 10,000).

6. WhatsApp Business MasterClass: Kozi hii itakuwezesha kupata maarifa bora ya kuwasiliana na wateja wako na kurahisisha kuwasiliana nao. (Ada yake ilikuwa ni Tsh 10,000).

Kozi hizo 6 ndizo ambazo ninakuhakikishia kwa. 110% Kwamba Ukizisoma na Kuzifanyia Kazi Utaweza Kutengeneza Kipato Mtandaoni.

Unaweza Kujiuliza Nitazipataje Kozi Hizo 6? Nitaweza Kumudu Gharama zake kweli?

Usijali, Nipo hapa kwa ajili yako.

Mafunzo yote yapo tayari, Mafunzo yamesharekodiwa kwa mfumo wa video na kwa lugha ya kiswahili. Hivyo unaweza kujifunza popote ulipo na kwa muda wako mwenyewe utakaojipangia kutokana na ratiba zako kwa kutumia simu yako tu. Utatumiwa mafunzo kwenye email yako mara moja.

ULIPIE KIASI GANI ILI UJIFUNZE KOZI HIZI ZOTE SITA ILI UWEZE KUTENGENEZA KIPATO MTANDAONI?

Angalia,…….

Ada ya Kozi Zote Hizo 6 ilikuwa ni Tsh 100,000 (LAKI MOJA).

ILA KWA KUWA NIMEKUSUDIA KUKUSAIDIA BASI LEO WALA HAUTALIPIA Tsh 100,000…..

Na wala hautalipia Tsh 75,000…..

Na wala hautalipia Tsh 50,000….

Eeh! Mwalimu Hemedi ni Kweli?

Ndio ni Kweli Kabisa…. NIPO HAPA KUKUSAIDIA.

Na wala hautalipia Tsh 30,000….

Mmh, Siamini

Mmh! Mwalimu Hemedi acha Masihala.

Sio Mzaha Ni kweli kabisa,

Na wala Hautalipia Tsh 25,000….

Leo…

Narudia, Leo….

Nitakupa Kozi hizi Zote 6 (Zenye Thamani ya Tsh 100,000) Kwa Tsh 21,000 TU.

OFA HII NI YA MUDA MFUPI SANA, Hivyo Hakikisha UNAWAHI SASA HIVI.

LIPIA ADA TSH 21,000 TU KWENDA TIGOPESA 0672999266 JINA ABDALLAH HEMEDI KISHA UTAUNGANISHWA KATIKA KOZI ZOTE SITA.

Baada ya kufanya malipo Nitumie Ujumbe WhatsApp 0672999266 ili Nikuunganishe.

Chat na Mimi WhatsApp

LIPIA ADA TSH 21,000 TU KWENDA TIGOPESA 0672999266 JINA ABDALLAH HEMEDI KISHA UTAUNGANISHWA KATIKA KOZI ZOTE SITA ZITAKAZOKUWEZESHA KUTENGENEZA KIPATO KUPITIA SIMU YAKO TU

FURSA YA KUTENGENEZA KIPATO MTANDAONI INAKUSUBIRI. 

WAHI SASA HIVI

Goodluck Paul

Alichosema: Nimejifunza Mambo mengi Sana yanayohusu ICT ambayo yameniweka kwenye ramani ya kidigitali kuwa nao.

Rajabu

Alichosema: Zimenisaidia katika shughuli zangu za kitaaluma na kitaalamu, na nahitaji kujifunza zaidi na zaidi ili kuongeza ujuzi zaidi; zimenisaidia kutumia kompyuta kwa urahisi na lugha nyepesi ya Kiswahili; pia katika nyanja mbalimbali hususan graphic design nimeweza kudizaini matangazo mbalimbali, kutengeneza kadi na business cards.

Chaz

Alichosema: Zimenisaidia kutanua uelewa katika kompyuta na mtandao pamoja na kuniongezea kipato.

Gerald joseph

Alichosema: Zimenisaidia kwa kiasi kikubwa sana. Hakika Mungu azidi kukupa werevu wa kipekee kabisa uendelee kutusaidia. Hadi hivi saizi nafanya shughuli zangu mwenyewe kupitia mafunzo niliyopata kutoka kwako, naweza kufanya kwa simu au hata kwa kompyuta. Nashukuru sana Mwalimu Hemed, hakika upo kwa ajili ya kusaidia, endelea na moyo huo huo na Mungu akujaalie zaidi.

ISAACK E ZACHARIA

Alichosema: Zimenisaidia kupata ujuzi kuhusu ICT kwa ujumla, lakini kubwa zaidi ni kuweza kuingiza kipato kupitia ujuzi wa kozi nilizopata.

Hassani Mbise

Alichosema: Kwa kweli siwezi kuelezea jinsi alivyonisadia maana ni upendo wa hali ya juu. Japo nilitoa hela lakini kiasi nilicholipa hakilingani na alichonifundisha maana hela niliyompa itakuwa ametumia imeisha, ila ujuzi alionipa kamwe hauishi, unaishi kichwani kwangu. Mungu ambariki; kwa sasa nafanya kazi nyumbani kwangu ila nipo katika hatua za mwisho kufungua ofisi yangu.

LENARD BUZINZA

Alichosema: Zimenipa ujuzi mkubwa uliopelekea nifungue biashara ya Stationery, stationery ambayo kazi zangu zote nizifanyazo zimeonekana kuwa bora zaidi kwa wateja kuwashinda wapinzani wangu, na zimepelekea nionekane mwenye ujuzi mkubwa kuwashinda wengine. Asante Mwalimu Hemed, nitazidi kuwa karibu nawe ili nivune maarifa zaidi.

Osward Sanga

Alichosema: Mafunzo ya kompyuta na ICT yamenisaidia kuongeza ujuzi mno hasa kwa yale mambo ambayo sikutegemea kama nitaweza kuyafanya. Bado naendelea kujifunza na Mwalimu Hemedi.

Nyemo mazengo

Alichosema: Kozi za Mwalimu Hemed zimenipa ujuzi wa kujitengenezea kipato kinachoendana na mahitaji yangu, na zimenisaidia kwa hatua kubwa sana kuna baadhi ya mambo nimeyajua kupitia mafunzo yake.

Hemed Faraji

Alichosema: Zimenisaidia sana haswa kwenye kazi zangu za kila siku, nimefahamu mambo ambayo ilikuwa siyajui kwenye kompyuta.

Mr. Athuman M.S

Alichosema: Nimepata ujuzi mkubwa sana kupitia mafunzo yako ya Microsoft Office, sasa hivi nafanya kazi kwa uhuru na kujiamini coz kila ninachofanya nakielewa vizuri… Ninamengi ya kujifunza kupitia kwako… Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki sana maana haya mafunzo niliyopata na hela niliyotoa mi niamini wewe unatoa msaada kwa watu kama sisi…. God bless u Sir Hemedi.

Nicolaus Martin

Alichosema: Kozi hizi zimenisaidia pakubwa sana. Ingawaje nilikuwa na ujuzi kidogo wa kompyuta pamoja na matumizi ya programs kama Ms Word, Ms Excel, PPT, n.k, lakini nakiri kwamba kuna vitu vingi sana kuhusiana na kompyuta na mtandao nimejifunza kutoka kwa Mwalimu Hemedi. Ahsante sana na Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako.

Juma

Alichosema: Nimejikuta nafahamu vitu vingi kwa haraka na kwa njia nyepesi nimeweka hata vile nisivyovitegemea na nina imani itaniletea kuweza kufanya kazi kama mtu wa stationary.

LIPIA ADA TSH 21,000 TU KWENDA TIGOPESA 0672999266 JINA ABDALLAH HEMEDI KISHA UTAUNGANISHWA KATIKA KOZI ZOTE SITA ZITAKAZOKUWEZESHA KUTENGENEZA KIPATO KUPITIA SIMU YAKO TU

Scroll to Top