Category: MS OFFICE

Kwa Nini Ni Lazima Ujifunze Microsoft Excel-Sababu 5 za Msingi

Kwa Nini Ni Lazima Ujifunze Microsoft Excel-Sababu 5 za Msingi

Microsoft Excel ni Program ya kimahesabu inayotumika kuhifadhi data katika muundo wa nambari, maneno, grafu na chati. Microsoft Excel inatumika katika makampuni biashara na katika taasisi mbalimbali. Pia watu binafsi hutumia program hii kwa matumizi mbambali. Kuna sababu tano za msingi za wewe kujifunza  Microsoft Excel. 1.Kuongeza ufanisi katika kazi. Program ya microsoft excel inakusaidia kuongeza ufanisi […]

Scroll to Top