Hii ni makala ya kwanza katika mfululizo wa mafunzo ya Jinsi ya Kutengeneza Website. Karibu ujifunze! Website ni nini? Kwa Kiswahili tunaita tovuti au wavuti ingawa katika mafunzo haya tumetumia neno website kwani ndio linalofahamika na wengi na hivyo itakuwa rahisi kwa watu kufahamu nini tunakizungumzia. Website ni mtandao ambao unatengenezwa kwa lengo la kuweka […]
